Saturday, December 6, 2014

LWAKATARE WA CHADEMA ASHINDA KESI YA UGAIDI

MKURUGENZI wa Ulinzi na Usalama wa Chama Cha Maendeleo (Chadema) Taifa, Mhe. Wilfred Lwakatare ameshinda kesi ya ugaidi iliyokuwa inamkabili. Kesi hiyo imeendeshwa katika Mahakama ya Rufaa Tanzania.

No comments:

Post a Comment