LIVERPOOL YAITUNGUA SWANSEA BAO 4-1, LALLANA APIGA MBILI

Liverpool imeifunga Swansea kwa mabao 4-1 katika mechi ya Ligi Kuu England. Katika mechi hiyo kwenye Uwanja wa Anfield, Liverpool ilipata mabao yake mawili kupitia kwa Adam Lallana, kabla ya Jonjo kujifunga na beki wa kushoto Moreno akafunga moja. Kutokana na ushindi huo, LIverpool imefikisha pointi 28 na kupanda hadi nafasi ya nane ikiacha Swansea katika nafasi ya tisa. Liverpool: Mignolet, Sakho, Skrtel, Can, Manquillo, Henderson, Lucas, Moreno, Coutinho, Sterling, Lallana. Subs: Toure, Gerrard, Lambert, Borini, Balotelli, Markovic, Ward. Swansea: Fabianski, Richards, Fernandez, Williams, Taylor, Britton, Shelvey, Dyer, Sigurdsson, Routledge, Bony. Subs: Ki, Emnes, Carroll, Gomis, Rangel, Tremmel, Bartley. Referee: Andre Marriner (W Midlands)
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: