Mama huyu aliamua kumkabidhi mwanaye wa miezi minne kwa mpenzi wake ili amwingilie kimwili

Hii inaweza kuwa habari ya kushangaza sana baada ya mwanamke mmojaJessica Lynnkuhukumiwa jela miaka 25 baada ya kumruhusu mpenzi wake kumbaka mwanaye wa miezi minne.
Kwa mujibu wa taarifa ya polisi katika mji waMissouri, Marekaniwalisema mwanaume huyoJordan Lafayette Princealiwahi kuhukumiwa na makosa ya udhalilishaji kwa wanawake na sasa amehukumiwa kwa makosa ya kuua na kubaka kwa kukusudia.
Jessica Lynn na mpenzi wake Jordan Lafayette Prince
Kwa upande wa mama wa mtoto huyo Jessica, yeye amehukumiwa jela miaka 25 baada ya kutoaruhusa kwa mwanaume huyo kufanya vitendo hivyo tangu mtoto huyo alipokua na wiki nne hadi alipofikisha miezi minne ambapo alifariki kutokana na kuwa na maumivu ya ndani ya mwili.
“Wakati anambaka mtuhumiwa alikua akimpiga mtoto huyo wakati akiwa analia na kumsababishia maumivu ya ndani ambayo yalichangia kifo cha mtoto huyo” walisema Polisi
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: