BINGWA MTETEZI SHUMA FC KUPIMWA NGUVU DHIDI YA MAKALI FC KWENYE KOMBE LA KUAMBIANA – LUDEWA


Inaweza kuwa picha ya maandishi yanayosema 'KUAMBIANA KUAMBIANA cun KUAMBIANA CUP CUP2025 2025 MASASI LUDEWA 2025 MATCH DAY 13.06.2025 Muda :10:00 jioni KS Uwanja Masasi-Ludewa MAKALI FC SHUMA FC CBO BANK Reteens KUAMSIANA INV KUANNIANAINVLSIMINEGNID SMNTCOLID Rudisha furaha nyumbani'

BINGWA MTETEZI SHUMA FC KUPIMWA NGUVU DHIDI YA MAKALI FC KWENYE KOMBE LA KUAMBIANA – LUDEWA
Mashindano ya Kuambiana Cup yanazidi kushika kasi katika Wilaya ya Ludewa, huku leo hii kivumbi kikitarajiwa kuendelea kwenye Uwanja wa Masasi. Mchuano wa kusisimua unatarajiwa kuwakutanisha bingwa mtetezi SHUMA FC dhidi ya MAKALI FC, katika mechi ya kufungua kampeni yao ya kutetea ubingwa.
SHUMA FC, kutoka kijiji cha Ngelenge, wanakabiliwa na presha kubwa baada ya kupoteza mchezo wa Ngao ya Hisani dhidi ya Mbongo FC kwa mabao 2-0. Kikosi hicho kinakabiliwa na jukumu la kujipanga upya na kuanza vyema katika harakati za kutetea taji lao msimu huu.
Kwa upande mwingine, MAKALI FC, kutoka kijiji cha Masasi, wana kiu ya kurejesha heshima yao baada ya kutoshangaza kwa misimu mitatu mfululizo. Timu hiyo imeonyesha nia ya kweli ya kurejea kwenye ubora wao wa zamani, na msimu huu wameapa kupambana kwa nguvu ili kuwazidi wapinzani wao wa karibu, Masasi FC.
Mashabiki wa soka Ludewa na maeneo ya jirani wanatarajia mechi ya us



Ludewa yetu na maendeleo yetu posted by barnabas njenjema, kutoka Ludewa
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: