Monday, November 11, 2024

UTALII NDANI YA LUDEWA

Vivutio vya Utalii

Uwekezaji katika maeneo ya sekta ya utalii unajumuisha  ujenzi wa  miundombinu ya kusaidia utalii kama Mahoteli ya kitalii katika fukwe zilizopo Kando ya Ziwa Nyasa kama vile maeneo ya fukwe za Manda, Lupingu, na Makonde pamoja na utalii wa kuendesha mitumbwi ya mashindano ya ziwani na kupiga mbizi, vilevile utalii wa utamaduni wa wenyeji wa Ludewa kama Ngoma ya Mganda, Ligambusi na Kioda na mwenendo wa maisha yao kwa jumla.

Ludewa imejaaliwa kuwa na maeneo ya asili ya utalii kama Msitu wa Mdandu, Eneo la Mgodi wa Chuma Liganga na Makaa ya mawe Mchuchuma.



Ludewa yetu na maendeleo yetu posted by barnabas njenjema, kutoka Ludewa

No comments:

Post a Comment