Friday, June 21, 2024

TAZAMA RATIBA YA LIGI YA KUAMBINA CUP LUDEWA




Ligi ya kuambiana cup inatarajiwa kuzindululiwa wilaya ya Ludewa Mkoa wa Njombe katika mchezo kati ya Shuma fc dhidi ya Kipangara fc .
hii ndio KUNDI mbalimbali za ligi hiyo inayotimua vumbi mwaka huu 2024 kuanzia tarehe 26.06.2024


Ludewa yetu na maendeleo yetu posted by barnabas njenjema, kutoka Ludewa

No comments:

Post a Comment