Sunday, December 3, 2017

LIGI KUU YA WANAWAKE TANZANIA YAZIDI KUNOGA





Ligi Kuu soka ya Wanawake Tanzania (TWPL) imendelea leo Jumapili Desemba 3, mwaka huu kwa michezo minne. Katika Uwanja wa Karume, Dar es Salaam kutafanyika mechi mbili za Kundi A na kwa mechi mbili za Kundi B zimefanyika Uwanja wa General Tyre jijini Arusha.
matokeo ni kama ifuatavyo



Ligi Kuu Wanawake Kundi A.
JKT Queens 5-0 EverGreen
⚽Donisia Minja
⚽Asha Rashid
⚽Fatma Mustapha
⚽Asha Rashid
⚽Stumai Abdallah
FT'

Ligi Kuu Wanawake Kundi B
Majengo Queens 1-2 Panama FC
⚽Mariam Dickson
⚽Yusra Kasenegala
⚽Halima Mwaigomole
FT'


Ligi Kuu ya Wanawake Kundi B
Marsh Academy 0-0 Alliance Queens.
FT'



Ludewa yetu na maendeleo yetu posted by barnabas njenjema, kutoka Ludewa

No comments:

Post a Comment