Wednesday, September 27, 2017

MAPINDUZI QUEEN'S KUAGWA NJOMBE

TAARIFA.
timu ya wasichana ya mapinduzi Queen's ya wilaya ya ludewa Mkoa wa Njombe inatarajia  kuondoka  siku ya ijumaa kwenda dar es salaam kwa michezo yake ya awali kuwania nafasi ya kucheza  ligi kuu.

Kabla ya kuondoka tim  itakuwa  na maongezi na Mkuu wa MKOA wa njombe Ndg.Olle Sendeka.

Tim kwa sasa ipo  kambini Njombe ikijiandaa na michezo iyo.

No comments:

Post a Comment