Sunday, April 9, 2017

Halima Mdee nenda kaombe msamaha Bungeni’ Gwajima


B
Mambo matatu aliyoyaongea Askofu Gwajima leo kanisani kwake   ni pamoja swala la Mbunge wa Kawe Halima Mdee kutumia lugha isiyostahili kwa Spika wa Bunge, Askofu Gwajima amesema ili Tanzania iende sawa lazima Halima aombe msamaha.





Ludewa yetu na maendeleo yetu posted by barnabas njenjema, kutoka Ludewa

No comments:

Post a Comment