Habari mbali mbali za kitaifa;kimataifa;michezo na burudani;
tunakuhabarisha kutoka ludewa mkoa wa Njombe na wilaya ya Ludewa
Tuesday, November 22, 2016
Matukio ludewa
Mkuu wa wilaya ya Ludewa katika mkoa wa Njombe Mh,Andrea Tsere mapema november 22 amefanya mazungumzo mafupi na wazee wa Ludewa kwa lengo la kujadiliana mambo kadhaa yatakayosaidia kuongeza kasi ya maendeleo wilayani hapa.
No comments:
Post a Comment