Sunday, September 11, 2016

KAGERA; WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA KUAGA MIILI YA AJARI YA TETEMEKO




WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, leo anatarajia kuongoza waombolezaji wa Mkoa wa Kagera, kufuatia vifo vya watu 14 vilivyotokana na Tetemeko la Ardhi lililotokea jana mjini Bukoba mkoani humo jana alasiri.


 Katika Viwanja vya Kaitaba mkoani Kagera


WADHAMINI WA BLOG HII YA NJENJE HABARI BLOG NI 
BEST FM 

Ludewa yetu na maendeleo yetu posted by barnabas njenjema, kutoka Ludewa

No comments:

Post a Comment