Friday, September 2, 2016

FAIZA Ally ‘Napenda Kuvaa Nusu Utupu, Najipenda Nilivyo Bomba Najua Wengi Mnatamani’


Mrembo Faiza Ally Ameamua Kufunguka haya Hapa Chini:
“Napenda kuvaa half naked – Na najipenda kujiangalia nilivyo bomba Na kuangalia watu wanavyo niponda…. najue wengi mnatamani lkn Ndio hivyo tumeumbwa tofaut….
Msinifananishe na mtu mwenye mzigo nyuma#hakunaga star mnene duniani hlf pia msinifananishe na wenye vijuso Kama katuni – mi niko Na class beauty 😉 I AM DIFFERENT” Faiza Ally

Ludewa yetu na maendeleo yetu posted by barnabas njenjema, kutoka Ludewa

No comments:

Post a Comment