Saturday, August 6, 2016

MCHANA NYAVU' BLAGNON NAYE AMALIZANA NA SIMBA NA KUKABIDHIWA KIMOBA NA AVEVA


Mshambuliaji Frederic Blagnon amemalizana na klabu ya Simba na sasa ni mali ya klabu hiyo.

Blagnon aliyekuwa akikipiga katika kikosi cha Africa Sports cha Ivory Coast amesaini leo kuichezea Simba na kupewa jezi rasmi na Rais wa Simba, Evans Aveva.

Mshambuliaji huyo alikuwa kati ya wachezaji waliotikisa nyavu katika mechi za kirafiki ambazo Simba ilicheza mkoani Morogoro ilipokuwa imeweka kambi
na salehe jembe

Ludewa yetu na maendeleo yetu posted by barnabas njenjema, kutoka Ludewa

No comments:

Post a Comment