Sunday, August 21, 2016

MAAJABU!Mtoto Azaliwa Na Vichwa Viwili Mkoani Mara





Mtoto azaliwa na vichwa viwili katika hospital ya DDH Bunda Mara mtoto huyu alikaa kwa saa moja ni kisha kufariki dunia picha imepigwa na Berensi Alikadi mshiriki wa mafunzo ya Online Journalism yanayoendelea Mkoani  Mara , Mafunzo hayo yanayoendeshwa na Mkufunzi Msaidizi Mkami Jr Kutoka Mjengwa Blog , Yakiratibiwa na UTPC




Ludewa yetu na maendeleo yetu posted by barnabas njenjema, kutoka Ludewa

No comments:

Post a Comment