Sunday, August 21, 2016

MAAJABU YA DUNIA NCHINI JAMAICA : MOTO UNAOWAKA WENYEWE KWENYE MAJI BILA KUZIMIKA.


Katika nchi  Jamaica katika mji wa ST. ANN kuna chemchem ya maji  Ndani ya chemchem hiyo kuna moto ambao huwaka masaa yote,  Maelfu ya watalii kutoka sehemu mbalimbali za dunia humiminika katika mji huo kushuhudia maajabu hayo yanayofahamika kwa jina la FIRE WATER .



Ludewa yetu na maendeleo yetu posted by barnabas njenjema, kutoka Ludewa

No comments:

Post a Comment