Friday, June 10, 2016

KITABU CHA KATA YA KIMELEMBE KINATAFUTWA WILAYA YA LUDEWA

Na Barnabas njenjema
Ludewa

Tangazo Lililotolewa Kuanzia Tarehe 8 mwezi Jun Mwaka huu 2016 na Mkurugenzi Mtendaji halmashauri ya wilaya ya Ludewa Katika Mkoa Wa Njombe Bw .William Waziri Linasema kuwa

KITABU  HW5  CHA KIJIJI CHA KIMELEMBE NAMBA 132951-133000 HAKITAKIWI KUTUMIKA MAHALA POPOTE KUANZIA TAREHE 08/06/2016 HIVYO YEYOTE ATAKAYE KIONA ANAOMBWA KUTOA TAARIFA KWENYE KITUO CHA POLISI, OFISI YA KATA AU KIJIJI CHECHOTE KILICHOPO KARIBU NAYE CHA HALMASHAURI YA WILAYA YA LUDEWA.

Imetolewa na William .N. Waziri Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa.

No comments:

Post a Comment