Saturday, June 11, 2016

Kaulamba

Staa wa Bongo Fleva ambaye pia ni mwalimu wa dance, Msami Giovani leo June 11, 2016 anazimiliki headlines za kufanyiwa suprise ya nguvu na uongozi wake baada ya kupewa zawadi ya gari mpya.

Ni gari aina ya Toyota Ipsum ambayo imenunuliwa kwa kiasi cha shilingi milioni 15 baada ya single yake iitwayo Mabawa kufanya vizuri katika vituo mbalimbali.

Hapa nina picha 14  za muonekano wa gari hiyo mpya.

.

.

.

.

.

.

.

.

No comments:

Post a Comment