Monday, April 4, 2016

UTIAJI SAHIHI MAKUBALIANO YA UTEKELEZAJI MPANGO WA SEKTA YA AFYA KATI YA TANZANIA NA IRELAND


Utiaji sahihi makubaliano ya utekelezaji mpango wa pamoja sekta ya Afya uliohusisha upande wa serikali na wadau wa maendeleo. Serikali iliwakilishwa na kaimu katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsisia, Wazee na Watoto Bw Michael John na Naibu Katibu mkuu TAMISEM Dkt Deo Mtasiwa. Wadau wa maendeleo Ubalozi wa Denmark Ireland, Italy na Benki ya Dunia, sekta binafsi iliwakilishwa na BAKWATA, APHTA CSSC Mfuko wa Benjamini Mkapa na AMREF AFRICA, vyama vya kitaaluma viliwakilishwa na TPHA.
Kaimu Katibu mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsisia, Wazee na Watoto Bw Michael John akibadilishana mikataba ya makubaliano na Balozi wa Ireland.




Ludewa yetu na maendeleo yetu

No comments:

Post a Comment