Saturday, April 2, 2016

Quick Rocka kuachia jiwe jipya ndani ya wiki mbili



Rapa Quick Rocka
Rapa Quick Rocka
<a href='https://mpakasi.com/ads/www/delivery/ck.php?n=ae5caf5a&amp;cb=Math.random()' target='_blank'><img src='https://mpakasi.com/ads/www/delivery/avw.php?zoneid=18&amp;source=https%3A%2F%2Fmpakasi.com&amp;cb=Math.random()&amp;n=ae5caf5a' border='0' alt='' /></a> Muimbaji nammiliki wa studio za Switch Records, Quick Rocka anatarajia kuachia wimbo wake mpya ambao utakuja kwa audio na Video wiki mbili kuanzia sasa.
Rocka amedai kuwa ameshindwa kufanya video ya wimbo wake ‘Nakupenda’ kutokana na ukweli kuwa wimbo huo ulivuja na haukuwa katika plan zake kwa sasa.
Aidha wimbo huo mpya umeandaliwa ndani ya studio zake mwenyewe Switch Records na producer Lufaa


Ludewa yetu na maendeleo yetu

No comments:

Post a Comment