Habari mbali mbali za kitaifa;kimataifa;michezo na burudani;
tunakuhabarisha kutoka ludewa mkoa wa Njombe na wilaya ya Ludewa
Friday, April 1, 2016
Picha,Makava mawili ya Beyoncé kwenye jarida la ELLE.
Beyoncé ameng’arisha jarida la ELLE kupitia nguo mpya za Ivy Park ,Beyonce ametokea kwenye kava za majarida hayo mawili kwa wakati mmoja ELLE na ELLE UK.
No comments:
Post a Comment