Wednesday, March 30, 2016

Wanawake: Usimtege Mume wa Mwenzio Kisa Tamaa, Jifunze Hapa


SeeBait
Mpenzi msomaji leo tutazungumzia tabia ya baadhi ya wenzetu kuwatega waume wa wenzao ili kuwanasa.

Tabia hiyo imeshamiri sana huko majumbani tunakoishi hasa kwa wanaume ambao mambo yao kiuchumi yapo vizuri.
Shoga, kumtega mume wa mwenzako kwa sababu ana fedha, gari, nyumba na vitu vingine vya thamani ni kukosea na kumdhalilisha mumeo.

Hata kama mumeo bado mambo hayajamnyokea usimsaliti kwa kutoka na m

Ludewa yetu na maendeleo yetu

No comments:

Post a Comment