Mimi
ni msichana wa umri wa miaka 27. Nimekuwa katika uhusiano wa kimapenzi
na kijana mmoja kwa muda wa miaka sita sasa. Isitoshe sisi ni majirani
wa karibu. Aliniahidi atanioa, lakini kwa jinsi muda unavyokwenda naona
kama kuna tofauti. Nahofia kuachwa. Naombeni ushauri jamani .
Ludewa yetu na maendeleo yetu
No comments:
Post a Comment