Ali kiba tangu akiwa mdogo alikuwa na ndoto za kuwa mchezaji mpira maarufu Bongo.
‘’Sababu
ilikuwa wimbo wangu wa Cindelela ulikuwa umehit ikabidi niachane na
mpira nikaanza kupiga hela Tanzania nzima nikazunguuka,lakini kwenye
mpira nilikuwa katika form,nikashindwa kuendelea nilikosa muda kabisa wa
kucheza mpira,’’Kiba.
Ludewa yetu na maendeleo yetu
No comments:
Post a Comment