Tasnia ya Filamu na Uigizaji pamoja wa Watanzania wote leo Januari 2, tunakumbuka pigo tulilopata miaka mitatu iliyopita baada ya kuondokewa na Mwigizaji Mahiri Juma Kilowoko maarufu kama Sajuki.
Sajuki kama ambavyo amekuwa akitambulika zaidi na wapenzi wa sanaa ya filamu na maigizo alifikwa na na umauti mapema asubuhi ya Jumatano, Januari 2, 2013 katika Hospital ya taifa ya Muhimbili alikokuwa anapatiwa matibabu.
Daima tunakukumbuka Sajuki
Ludewa yetu na maendeleo yetu
No comments:
Post a Comment