Tuesday, November 3, 2015

Hii ni ratiba ya mechi za Ligi ya Mabingwa Ulaya November 3 na 4 pamoja na msimamo wa makundi nane


Michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya inaendelea tena Jumanne ya November 3 na Jumatano November 4 kwa michezo kadhaa kupigwa katika viwanja tofauti tofauti barani Ulaya. Mechi za November 3 na 4 zimebadilika kidogo muda wa kuanza kwa mechi hizo kwani mechi nyingi zitaanza saa 22:45 usiku na sio saa 21:45 ila mechi ya FC Astanadhidi ya Atl Madrid itaanza Saa 18:00.
1
Mechi za November 3 ambazo zitachezwa Saa 22:45 kasoro mechi ya FC Astana Vs Atl Madrid ambayo itachezwa Saa 18:00

Mechi za November 4 zote zitachezwa saa 22:45
Msimamo wa makundi kabla ya mechi za November 3 na 4



Ludewa yetu na maendeleo yetu

No comments:

Post a Comment