Saturday, October 24, 2015

Picha za MAFURIKO Ya Lowawasaa Ruaha, Mikumi ni Balaa

Mhe. Edward Ngoyai Lowassa na Mhe. Fredrick Sumaye wakiwasili katika viwanja vya Tem K2 Ruaha,Ijumaa 23/10/2015
Mhe. Edward Ngoyai Lowassa (Kulia) akiambiwa jambo na mgombea ubunge wa jimbo la Mikumi Morogoro baada ya kuwasili katika viwanja vya Tem K2 Ruaha,Ijumaa 23/10/2015
Mgombea ubunge wa jimbo la Mikumi Joseph Haule akimueleza matatizo ya Mikumi Mhe. Edward Ngoyai Lowassa katika viwanja vya Tem k2,leo Ijumaa 23 Oktoba 2015



Chagua kiongozi bora ili kuleta mabadiliko

No comments:

Post a Comment