Wednesday, April 29, 2015

29Apr2015KABURI LILILOBOMOLEWA NA WEZI NA KUIBA NGUO ZA MAREHEMU LAJENGWA UPYA HUKO PWANI

Hii ishu inahusiana na tukio ambalo liliripotiwa kwenye vyombo vya habari ikiwemo Magazeti kuiandika sana.. ilishtua wengi, hata mimi iinishtua pia.. marehemu amefariki, ndugu wamefanya mazishi.. siku chache baadae wakaja watu wasiofahamika wakafukua kaburi na kuiba nguomabegi mawili ambazo alizikwa nazo marehemu.Hiyo picha hapo juu ni.. ndugu waliamua kulijenga upya baada ya wezi hao kubomoa na kuiba vilivyokuwemo ndani.Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani limethibitisha tukio hilo, wanawatafuta waliovunja kaburihilo na kufanya uhalifu wa kuibanguo na vitu vingine alivyozikwanavyo.Shuhuda mmoja amesema walikuta kaburi limechimbuliwa, nguo zimetolewa na nyingine walikuta zimetupwa vichakani ikabidi wazichome moto.

No comments:

Post a Comment