Sunday, January 25, 2015

YAMOTO BAND WANAKUALIKA KUTAZAMA VIDEO YAO MPYA INAYOITWA “NITAKUPWELEPWETA

Style ya muziki wanaoufanya imewafanya kupata mashabiki wa umri tofauti,Yamoto Band wametuletea video yao mpya hii inaitwa Nitakupwelepweta,imeongozwa na Adam Juma. Bonyeza play kutazama

No comments:

Post a Comment