Saturday, January 24, 2015

Michezo ya leo ya kombe la FA

Baada ya jana timu ya Manchester United kutoka sare ya 0-0 na timu ya daraja la chini ya Cambridge United, Leo ni zamu ya klabu nyingine za ligi kuu nchini Uingereza kama Chelsea,Manchester City na Tottenham Hotspur kutupa karata zao kwenye hatua nyingine ya kombe hilo maarufu nchini Uingereza. Kwenye kinyang’anyiro cha leo inakosekana Arsenal ambayo ilitolewa huku timu zote zilizopo kwenye ‘Big 4′zipo. Chelsea ? – ? Bradford City Blackburn Rovers ? – ? Swansea City Birmingham City ? – ? West Bromwich Albion Cardiff City ? – ? Reading Derby County ? – ? Chesterfield Manchester City ? – ? Middlesbrough Southampton ? – ? Crystal Palace Tottenham Hotspur ? – ? Leicester City Liverpool ? – ? Bolton Wanderers

No comments:

Post a Comment