Saturday, January 17, 2015

LIVE UPDATE ;SIMBA VS NDANDA FC

LIVE UPDATE ;SIMBA VS NDANDA FC

mpira umemaliza kunako dimba la nangwanda sijaona mtwara na timu ya simba imeibuka kidedea kwa kushinda goli mbili kwa bila;
kwa matokeo hayo simba inafikisha point kumi na mbili na ndanda fc inabikiwa na point kumi na moja

No comments:

Post a Comment