Tuesday, January 13, 2015

KIPA BORA, MCHEZAJI BORA KOMBE LA MAPINDUZI WATOKEA MTIBWA

Kama Bado Hujajiunga Nasi, Unaweza Kujiunga Hapa Nikutumie Habari Moja Kwa Moja ..Bofya HAPA ULIKE PAGE YETU!..


SAID MOHAMMED.
Kipa Said Mohammed wa Mtibwa Sugar amekuwa kipa bora wa michuano ya Mapinduzi.





Halafu beki wa kati wa Mtibwa Sugar, Salim Mbonde ameibuka kuwa mchezaji bora wa michuano hiyo iliyomalizika kwa Simba kubeba kombe.

Mfungaji bora amekuwa Simon Msuva wa Yanga ambaye alifunga mabao manne. Zawadi yake ilipokelewa na Juma Mmanga.

No comments:

Post a Comment