Kaa chonjo! Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), mheshimiwa Kassim Majaliwa amejikuta akitumbukia kwenye kamera za Oparesheni Fichua Maovu (OFM) ya Global Publishers baada ya kuchunguzwa kwa kuingia hotelini akiwa ametanguliwa na mrembo mmoja aliyedaiwa kuwa na ahadi naye, Ijumaa Wikienda lina picha kamili.
Home
Uncategories
WAZIRI WA TAMISEMI KASSIM MAJALIWA AINGA MITINI BAADA YA KUBAMBWA AKIINGIA HOTELINI NA KIMWANA
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment