Saturday, January 24, 2015

BREAKING:Rais Kikwette afanya mabadiliko ya Baraza la Mawaziri

Ikulu imefanya mkutano wa ghafla na waandishi wa habari kwenye uteuzi wa Baraza la Mawaziri.Baadhi ya Mawaziri waliochaguliwa na wengine kubadilishwa wizara ni; George Simbachawene- Nishati na Madini Mary Nagu -Waziri wa nchi Mahusiano na Uratibu Harrison Mwakyembe – Afrika Mashariki. Wiliam Lukuvi – Ardhi Nyumba na Makazi Steven Wassira – Kilimo Chakula na Ushirika Samwel Sitta – Uchukuzi Jenista Mhagama – Sera na Uratibu wa Bunge Manaibu Waziri Steven Masele -Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano Angellah Kairuki – Ardhi Nyumba na Makazi Ummy Mwalimu- Katiba na Sheria Anna Kilango- Elimu Charles Mwijage – Nishati na Madini

No comments:

Post a Comment