Wednesday, January 28, 2015

AZAM FC YACHAPWA 1-0 NA TP MAZEMBE

Azam FC imefungwa bao 1-0 na TP Mazembe katika mashindano ya timu nne yaliyoanza leo mjini Lubumbashi, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). Hata hivyo, taarifa haijamtaja mfungaji wa bao la Mazembe.

No comments:

Post a Comment