Monday, December 8, 2014

Hatari!! KATIBU WA CHADEMA APIGWA MSHALE AKITOKA KWENYE KAMPENI

Bahati Mayala (37) Katibu mwenezi wa Chadema kata ya Rigicha wilaya ya Serengeti akiwa hospitalini kufuatia kupigwa mshale mgongoni akiwa anatoka mkutano wa kampeni

No comments:

Post a Comment