Thursday, December 11, 2014

GOLI BORA LA NEYMAR DHIDI YA PSG

Jivunie kuwa mwana ludewa

1418243363627_lc_galleryImage_Barcelona_s_Brazilian_for
Goli la ajabu la dakika ya 41 la mchezaji wa Barcelona Neymar kwenye ushindi wa 3-1 dhidi ya PSG limeifanya Barcelona kuongoza kwa alama 15 kwenye kundi F.Neymar alifunga goli hilo la umbali umrefu baada ya kukokota mpira na kupiga shuti kali kwenye upande wa kulia wa goli.

No comments:

Post a Comment